simplex

Deutsch-Tansanische Freundschaftsgesellschaft e.V.

Washarika

Chama cha urafiki kati ya wajerumani na watanzania kinasaidia mashirika kadhaa yasiyo ya serekali kwa hali na mali katika utekelezaji wa miradi yao ya maendeleonchiniTanzania. Uhusiano wa kibinafsi na karibu unawapa nguvu katika kutekeleza malengo yao. Maelezo zaidi kuhusu washiriki wetu wa miradi, utaona katika kurasa zifuatazo. Ili kuona washiriki wetu wa miradi waliko angalia ramani ifuatayo. Bonyeza mara moja katika ramani ili iwe kubwa.