simplex

Deutsch-Tansanische Freundschaftsgesellschaft e.V.

Tarajali

... kufundisha kiingereza katika shule ya msingi.

…kuongoza klabu ya kujadiliana

…kutunza watoto yatima

…kupanda miti

…kutengeneza matofali

…kusaidia katikakazi za ofisi

Ingawa kazi za vijana wanaofanya mazoezi kwa vitendo zinavyoweza kuwa tofauti lakini washiriki wote hupata  fursa ya kujua yalivyo maisha ya kila siku na utamaduni wa watanzania.

Chama cha DETAF kinaunga mkono uzoefu huo muhimu wa kibinafsi unaochangia maelewanao ya kimataifa, kupitia vijana wanaojitolea kuwasaidia washirika wetu Tanzania. Muda tunaohitaji kupanga zoezi hili ni miezi mitatu

Utapata maelezo zaidi katika kurasa zifuatazo.