|
Deutsch-Tansanische Freundschaftsgesellschaft e.V. |
Semina |
![]() |
||||
![]() |
||||||
SeminaTangumwaka wa 2001 chama cha DETAF kinaandaa semina mara moja kwa mwaka, kuhusu mada mbalimbali zinazohusu Tanzania kwa yeyote anayependa kushiriki. Lengo la kongamano ni kuwapa watu fursa ya kuifahamu vizuri zaidi nchi ya Tanzania,watu wake na utamaduni wao, hata kama hawatasafiri kwenda Tanzania. Mada ya semina itakayofanyika wa mwaka huu itakuwa ni dini. Ukipenda kushiriki katika semina hiyo kama msemaji wasiliana nasi. Semina itafanyika tena mwanzoni mwa mwezi Mei katika mji wa Königswinter karibu na Bonn. Mada zilizotangulia: Maendeleoya kiuchumi Tanzania tangu Ujamaa – 2007 Ripoti kuhusu semina zetu zinapatikana katika archive (nyaraka) zetu na picha katika gallery. |
||||||