|
Deutsch-Tansanische Freundschaftsgesellschaft e.V. |
Habari |
![]() |
||||
![]() |
||||||
|
Katika kurasa zifuatazo utakuta maelezo mengi mazuri kuhusu Tanzania kwa kijerumani na kiingereza Katika News (habari) kuna mkusanyiko wa habari kila mwezi na links nyingine kutoka vyombo vya habari vya eneo hilo Katika Publications (machapisho) utakuta maandishi ya wanachama wetu na washarika wa Tanzania na pia vipande vilivyokatwa kutoka magazeti ambavyo unaweza kuagiza kutoka DETAF Katika Films zimeorodheshwa filamu za kupendeza kuhusu Tanzania. Kwenye ukurasa wa Downloads utakuta maelezo yote unayoweza kunakili katika komputa yako. Mwishowe kuna ukurasa ulio na links nyingine za kupendeza kuhusu Tanzania Interesting Links kwa mfano utamaduni, usafiri na lugha. |
||||||